Kurasa

Ijumaa, 20 Juni 2014

UKWELI KUHUSU NDOA YA LULU NA JOTI.........

SIKU CHACHE BAADA YA UVUMI WA KUWEPO KWA NDOA YA MWANADADA HOTLULU NA BWANA MKUBWA JOTI HATIMAE BI.SHOSTI HUYO AMAFUNGUKA RASMI SASA......
HIKI NDIO ALICHOANDIKA LULU KWENYE UKURASA WAKE

Jumapili, 18 Mei 2014

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA MAHALA PEMA PEPONI............................

TASNIA ya Bongo Movie imepata pigo kwa kumpoteza mwigizaji mashuhuri ADAMU KUAMBIANA aliyeiaga dunia jana Alfajili ya kuamkia jumamosi ya tarehe 17 may....... Akizungumzia kifo hicho Raisi wa Bongo Movie Steven Nyerere alisema"JANA ASUBUHI WAKATI AKIONGOZA FILAMU ALIANGUKA GHAFLA CHOONI KATIKA HOTELI SILVER RADO,SINZA NA ALIFARIKI NJIANI WAKATI AKIPELEKWA HOSPITALI..........
MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA ENZI YA UHAI WAKE............ ADAMU KUAMBIANA ameongoza na kucheza filamu kama DANIJA,CHAGUO LANGU,FAKE PASTOR,ULIYEMCHOKOZA KAJA,JESICA,ITS TOO LATE NA NYINGINE NYINGI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI NA BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE ....................................................AMEN....................................................................

Jumatatu, 14 Aprili 2014

JK AMLILIA MUHIDIN GURUMO,,,KUZIKWA LEO........

Tanzania imepata pigo kwa kumpoteza mwanamuziki mkongwe Muhidin Gurumo{74} aliyefariki dunia juzi katika hosipitali ya Taifa ya Muhimbili,Dar es Salaam.
Mzee Gurumo alifariki dunia kutokana na maradhi ya moyo baada ya kulazwa katika hospitali ya MHN kwa siku tatu. Agosti mwaka jana mzee Gurumo alitangaza rasmi kustaafu muziki baada ya kuitumikia fani hiyo kwa muda wa miaka 53.Alifanya hivyo kutokana na umri na afya yake kuzorota.... Gurumo alizaliwa mwaka 1940,alianza muziki mwaka 1960akiwa na bendi ya Kilimanjaro,,,mwaka 1962 alijiunga na Rufiji Jazz Band kabla ya kutua Kilwa Jazz mwaka 1963. Mwaka 1964,akiwa mwasisi wa NUTA Jazz Band ambayo ilipita hatua nyingi kwa majina ikiwa inaitwa Juwata Jazz,OTTU,MSONDO, na sasa MSONDO JAZZ BAND aliyodum nayo mpaka kustaafu muziki japo alichomoka mwaka 1978 DDC Mlimani Park Sikinde... Kwa upande mwingine Raisi wa Jamhuri ya Muungano Mh.Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari,vijana utamaduni na michezo,DK Fenella Mkangarakutokana na kifo cha Gurumo.... "NIMESIKITISHWA NA KUHUZUNISHWA NA TAARIFA YA KIFO CHA MAALIM GURUMO AMBAYE ALIKUWA MMOJA WA WASANII WA DANSI WALIOTUMIKIA TAIFA HILI KWA BIDII TANGU MIAKA YA SITINI KUPITIA SANAA YA MIZUKI KUPITIA BENDI MBALIMBALI ZA DANSI TANGU AKIWA NUTTA JAZZ,MLIMANI PARK,MPAKA MSONDO NGOMA AMBAYO AMEITUMIKIA AHDI ALIPOSTAAFU MWAKA 2013"alisema Rais Kikwete katika salamu zake..... Alisema mchango wa Gurumo katika taifa hili ni mkubwa na wa kuigwa mfano kutokana na kipaji alichojaaliwa na Mwenyezi Mungu ambacho alikitumikia kikamilifu kwa manufaa ya watanzania kwa ujumla... Raisi Kikwete alimtaka Dk.Mkangara kufikisha salamu zake za rambi rambina pole kwa familia ya marehemu Gurumo kwa kumpoteza kiongozi na mhimili wa familia yao.. Mwili wa Marehemu Gurumo utawasili nyumbani kwake Makuburi Ubungo Wilaya ya Kinondoni saa mbili asubuhi,baada ya hapo kutakuwa na taratibu nyingine za mazishi ambapo kutakuwa na risala mbalimbali kutoka kwa ndugu pamoja na chama cha muziki wa Dansui Tanzania{CHAMUDATA} Majira ya saa tano itaanza safari ya kuupeleka mwili kijijini kwao Masaki wilaya ya Kisalawe,Mkoani Pwani kwa mazishi.... MZEE GURUMO WEWE MBELE SISI NYUMA YAKO,,PUMZIKA KWA AMANI GWIJI LA MIZIKI TANZANIA........AMEEEN

Jumanne, 4 Machi 2014

MKENYA ASHINDA TUZO ZA OSCAR.......itazame hapa..............

Mwigizaji na mwanamitindo Lupita Nyongo ameandika historia baada ya kuwa mwigizaji wa kwanza kutoka Nchini Kenya kushinda tuzo kubwa za OSCAR..... Nyongo mwenye miaka 30 alishinda tuzo hiyo kupitia kipengere cha mwigizaji BORA MSAIDIZI wa kike alipoigiza kama Patsey kwenye filam ya 12 YEARS A SLAVE.
LUPITA NYONG'O PICHANI Filamu hiyo ni ya kwanza kubwa kuigizwa na Lupita na kwa bahati nzuri imekuwa ya kwabza kumpatia tuzo tuzo kubwa kama ya OSCAR. Katika kipengela hicho alipambanishwa na Jeniffer Lawrence wa filamu ya kwenye AMERICAN HUSTLE... Wakati akipokea tuzo hiyo alitoa ujumbe usemao "UWE NI UKUMBUSHO KWA MTOTO YEYOTE ATAEZALIWA ATAMBUE --------------------------------------------------------------------------------

Ijumaa, 14 Februari 2014

KUHUSU VALENTINE DAY.......

TAREHE 14FEBRUARY YA KILA MWAKA INAKUMBUKWA SIKU YA WAPENDANAO..........NI SIKU AMBAYO JAMII KWA UJUMLA INAPATA WASAA WA KUONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WAO..... SIKU HII KWA UJUMLA INAJUMUISHA TUKIO KUBWA KIDINI YA KIKATOLIKI..........
KUMBUKUMBU YA MTAKATIFU VALENTINO MFIA DINI,,,,,MT VALENTINO ALIFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUFUNGISHA NDOA KITU AMBACHO KILIKUWA KINYUME NA SHERIA ZA MTAWALA WA NCHI YAKE AMBAYE ALIKATAZA VIJANA KUOA KUSUDI WAJIUNGE NA JESHI LA NCHI YAKE,,,,,,, AKIWA GEREZANI MT VALENTINO ALITOKEA KUPENDANA NA BINTI WA MKUU WA GEREZA AKIWA ANSASUBIRI ADHABU YAKE YA KUNYONGWA......SIKU YA KUNYONGWA KWAKE AKAACHA UJUMBE WENYE MAANDISHI"FROM YOUR VALENTINE"KWA SASA SIKU HII INAAZIMISHWA KAMA SIKU YA KUONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WETU HUSUSANI PRINCE NAWATAKIA HAPPY VALENTINE WAPENDWA WOTE

Jumapili, 9 Februari 2014

HIKI NDIO KIVAZI CHA LULU KILICHOJENGA HOJA KWA WADAU WAKE.......

Awali kigauni hicho alionekana nacho maeneo ya sinza na badae kukitupia mtandaoni kiliwafanya wengi kuhoji anakoelekea bi dada huyo........ HII NDIO IKAFANYA UCHUNGUZI NA KUGUNDUA KIGAUNI HICHI KWA NDANI KINA KITAMBAA KINACHOFANANA NA NGOZI........HONGERA BI DADA KWA UGUNDUZI WAKO LAKINI WENGI ULITUACHA MIDOMO WAZI......

Jumamosi, 8 Februari 2014

JE UMEZIONA PICHA ZA WEMA KAJALA NA AUNT EZEKIEL WAKIWA TRIPLE A???//ni shidaaaaaah zitazame hapa.........

full pozi dah
cheki
Jamani wamama wenye mapaja mabaya muwe mnavaa nguo ndefu kidogo.....hebu muone uyu mama looooh ni shidah kaharibu kabisa......
check me...............www.facebook.com/princewilliums

MWANAKWAYA AAIBIKA................

Ni aibu iliyoje????? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu kimoja{jina lipo}ambayepia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku wa manane akijiuza RISASI MCHANGANYIKO linafumua......
Mwanakwaya msomiwa chuo kikuu katikati aliyejitambulisha kwa jina la Rei...... Rei alikamatwa katika msako wa polisi katikati ya jiji la dar aka city center hivi karibuni akiwa na kundi la warembo wa vyuo mbalimbali wakifanya biashara haramuya kuuza miili yao... Mrembo huyo ambaye OFM ya Globar publisher ilimnasa ilimshuhudia kabla ya kupelekwa kituo cha polisi Ilala center ilijitetea kuwa yeye ni dentiwa chuo kikuu hivyo kitendo cha kupigwa picha alijua zitasambaa mitandaoni hivyo itakuwa ni aibu kubwa. "Kaka naomba usinitoe gazetini au mtandaoni haya ni maisha tu itakuwa aibu kwa wanachuo wenzangu alijitetea" Mbali na hayo,mrembo huyo wa haja alikuwa akihaha kuwa kama ishu hiyo itamfikia mchungaji wake,basi hatakuwa na sehemu ya kuficha uso wake.......... KWA MAELEZO ZAIDI JIPATIE NAKALA YA GAZETI LAKO LA RISASI JUMAMOSI.......

Ijumaa, 7 Februari 2014

NI LULU TENAAAA.......NI FEBRUARI 17 KESI YAKE KURINDIMA TENA...........isome hapa

KESI ya mauaji bila kukusudia inayomkabili msanii wa filamu nchini Bi. Elizabeth Michael{LULU}inatarajia kuunguruma katika mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam,februari 17 mwaka huu. Kesi hiyo ambayo ilibadilika kutoka kwenye kesi ya mauaji ya kukusudia na kuwa mauaji ya bila kukusudia ilipangwa kusikilizwa mbele ya jaji Rose Teemba... Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya mahakama hiyo mshitakiwa huyo anayetetewa na wakili Peter Kibatala atasomewa mashtaka yanayomkabili upya na atatakiwa kujibu kama ni kweli aliua bila kukusudia au hapana.... Lulu baada ya kubadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kuua bila kukusudia alipata dhamana na kupewa masharti ya kuripoti kwa msajili wa mahakama hiyo kila mwezi. Awali mwaka 2012,mshitakiwa alipandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwa madai ya kumuua msanii nyota wa filamu nchini,Steveni Kanumba. Inadaiwa kuwa,Lulu na Kanumba wablikuwa na walikuwa na mahusiano ya kimapenzi na waligombana usiku wa April 6,2012 na April 7 mwaka huo katika eneo la Sinza Vatican Kanumba aliaga dunia..... KILA LA KHERI LULU

Jumatatu, 3 Februari 2014

Tazama picha Wema,Kajala,Zamaradi,Anti Ezekiel wakiwa A town noma sana..............

WEMA,ZAMARADI,KAJALA NA ANTI EZEKIEL WAKIWA KWENYE POOOOZI NDANI YA A TOWN KWENYE SHOO YA MSANII ALIYE CHINI YA LEBO YA ENDLESS FAME....MIROR.
KABLA YA SHOO KATIKA POZI........
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MIROR.

KASHFA YA KUSAGANA NA UWOYA YAMTOA NENO MSANII!!!!!!!!!.......isome hapa......

Staa wa filamu ya THE RETURN OF OMEGA ambayo kwa sasa iko mitaani,Mariam Ismail ameamua kuvunja ukimya juu ya madai ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi ya jinsia moja[USAGAJI]na mshiriki wa filamu hiyo Irene Uwoya na kuamua kuishi pamoja katika nyumba moja jijini bongo........
........Kauli yake akiteta nasi hii hapa....... "Mimi ndio wa kwanza kupiga vita upumbavu huo,nimekamilka sina kasoro ya kufanya niwe na mwanamke mwenzang,wanaofanya hivyo nadhani wana kasoro kwenye miili yao.Irene ni rafiki yangu urafiki wetu sio wa leo au wa keho tumeshibana"alisema. Mariam ambaye pia kwenye return of omega ameigiza na Mtitu pamoja na Dude aliongeza kuwa suala la wao kukaa pamoja halina sababu ya kuwazushia kwani nyumba wanayoishi ni kubwa na hawachangii chumba kimoja. "Kupanga tuishi wote sioni kama ni tatizo,ingekuwa ni chumba kimoja hapo sawa lakini ni nyumba kubwa yenye kujitosheleza,kila mtu anacho chumba chake,tunaishi kwa amani na ushirikiano.Ukimya wetu na kupatana kusifanye watu kuanza kuhisi upumbavu juu yetu...Natumaini ujumbe wangu utakuwa umewafikia mashabiki wangu wote....Asante.In God I trust...Alimaliza mdada uyo kwa kiswanglish......

Jumanne, 28 Januari 2014

FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO.......

                                           
Ule uvumi kwamba baadhi ya wachungaji,maaskofu na mitume wa makanisa ya kiroho nchini wanajihusisha na imani za Freemasoni unazidi kushika kasi huku awamu hii rungu likimuangukia Mchungaji Anthony Lusekelo almaarufu Mzee wa Upako wa kanisa la GRC ubungo na kutikisa kanisa,,,gazeti la UWAZI linanyetisha.
                                           
                                           MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO
Madai hayo ya mtumishi huyo kujihusisha na imani hiyo yalianza kuenea kwa kasi mithili ya moto nyikani huku baadhi ya watu wakionyesha shaka juu ya uponyaji wa mtumishi huyo kufuatia miujiza ya ajabu ambayo amekuwa akionyesha kwa watu wenye uhitaji wa kiimani.
                                              MATENDO YA SHAKA
Baadhi ya matendo ambayo yamekuwa yakiwatia shaka baadhi ya watu ni pamoja kitendo cha  mchungaji
huyo kuwaombea watu wakiwa hawana kitu kabisa lakini baada ya muda hurudi kanisani hapo wakiwa na magari ya kifahari na wakionyesha kila dalili ya ukwasi{utajiri}
"ETI UNAKUTA MTU HANA KITU AMEKWENDA KUOMBEWA BAADA YA MIEZI MICHACHE ANARUDI NA GARI LA KIFAHARI KWELI????hayo ni maneno ya ya baadhi ya waumini wa makanisa ya kikristo walipozungumza na UWAZI.
                                               
                                         
                                       ALAMA NA VIASHIRIA TATA.
Wakiafafanua kwa kina juuya wasiwasi wao na mzee wa Upako na miujiza yake,waumini hao walitolea mfano baadhi ya viashiria kuwa ni moja ya utambulisho wa Freemasoni.
Wanasema "mara nyingi mtumishi huyo akiwa madhabahuni amekuwa akitumia kitambaa kikubwa kujifutia na kuwagusia watu anaowaombea hali ambayo huwafanya kuanguka ovyo na kupga kelele ovyo"walisema.
Mbali na kitambaa walisema mtumishi huyo amekuwa akionekana na pete zenye picha za ajabu akiwa anahubiri na kutenda niujiza.
Hofu yao nyingne ni kwamba mtumishi huyo amekuwa hataji neno Mbinguni badala yake husema"MUNGU WANGU AWABARIKI"
                     KAMA KAWAIDA UWAZI HAWABAHATISHAGI WAKAMUIBUKIA OFISINI...
Viranja wa gazeti la uwazi wakamuibukia ofisini kwake Ubungo Kibangu na kumkuta kajaa tele wakamsomea mashtaka bila kumumunya maneno.....
Naye akajibu bila kupepesa macho.......
"Hizo tuhuma zilianza kusikika zamani sana,watu walianza kunituhumu kwenye matumizi ya bendera ya Taifa kanisani,nikaacha wakahamia kwenye kitambaa"
           ANAZIDI KUFUNGUKA ........
"Jamani natumia muda mwingi kusimama madhabahuni sasa nikitumia kitambaa cha 500 itwezekana kweli?????natumia kitambaa kidogo kufuta jasho ishakuwa nongwa."
         UYU APA TENA LUSEKELO.....
"Baadaye wakahamia pete.....mimi ni mtu smart{msafi}na nimezaliwa mjini{borntown}sasa kuvaa pete ni sehemu ya maisha ya mjini lakini baada ya maneno nikavua na sasa sina ...alisema..
         KUHUSU FREEMASON.......
"Sijawahi hata siku moja kuwa Freemason kwanza hata wanapopatikana sipajui,mimi si muumini wa dini wala imani yeyote ya kishetani.......!!!!!SHETANI MWENYEWE ANANIOGOPA........
HII NDIO BONGO TUNAKUTIA MOYO MTUMISHI KUMBUKA MAJARIBU NI SEHEMU YA HUDUMA YAKO NA VIKWAZO HAVINA BUDI KUJA..........!!!!!!!



LULU AWATOLEA UVIVU WANAOMCHAFUA..........isome hapa............

 Nawashangaa watu ambao wamekuwa wepesi kunizushia skendo  mara natoka na waume za watuama wasanii,maisha yangu mimi ni filamu,kwani hivi karibuni nimechukua fedha yangu nyingine baada ya kukamilika kwa filamu yangu ya Family Curse inayosambazwa na Proin Promotions,hivyo watu wakiniona wanafkiri nahongwa kumbe nina MKWANJA balaaaaaa!!!!!!!!!
Lulu ameiambia HII NDIO BONGO Proin Promotion ndio walezi wake na ndio wanampa jeuri ya kuishi hapa mjini!!!!!!!
PRINCE WA HII NDIO BONGO NAKUTAKIA KILA LA KHERI LULU KATIKA KAZI ZAKO!!!!!!!!!!!

Jumapili, 26 Januari 2014

BASATA YAFUNGIA NIMEVURUGWA YA SNURA.....isome hapa.......

BARAZA la Sanaa la Taifa [Basata]limeifungia videpo ya wimbo wa NIMEVURUGWA ya  mwanadada mkali wa mduara Snura Mushi kwa madai ya kukosa maadili kwa jamii.
   Akizungumza hivi karibuni,Snura alisema hajui  sababu gani iliyofanya kazi yake kufungiwakupigwa katika vituo vya telivisheni.

 "Nilipigiwa simu na rafiki zangu na kuambiwa hivyo,lakini mpaka sasa sijui ni kwa sababu gani kwa maana sioni kama nimefanya kitu cha ajabu katika video hiyo na cha kushangazwa hata sijaulizwa na yeyote,ila ndio hivyo"alisema mamaa Majanga.
Snura anasema wakati anasambaza wimbo wa"Majanga"kuna baadhi ya mashabiki wake walimshangaa kwa nini hajachezaamesababisha video ya wimbo huo kupooza na kutokuwa na mvuto ikabidi nisiwaboe mashabiki wangu ndio wimbo uliofuata ikanibidi kucheza kumbe nilikuwa naandaa mazingira ya kufungiwa.alisema Snura.
  Snura ni kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika vituo mabimbali vya redio na televisheni kutokana na kazi zake ambazo zinaliteka soko la muziki nchini.

WEMA AYAVAA MAJANGA MENGINE....

                          
                                                                     Wema sepetu
                                                                 
                                                              Wema na Diamond

Mwigizaji Wema Sepetu ameingia katika donda lingine la moyo  baada ya mpenzi wake Naseeb Abduli a.k.a Diamond kuripotiwa kuanzisha mahusiano na Hamisa Mabeto.

       Modo huyo ambae ameshafanya kazi kadhaa na Diamond,ikiwa ni pamoja na kupamba uzinduzi wa wimbo wa my no 1 uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2013 Serena hotel jijini Dar es Salaam.
                 
      
                                                            Hamisa Mabeto
Diamond anayevuma Africa Mashariki na kati anadaiwa kufa kuoza kwa binti huyo ambaye licha ya umodo pia ameanza kugeukia filamu.
                                               
                                                  Mrembo Hamisa katika pozi tatu tofauti.
Diamond anadaiwa kumpangishia nyumba ya gharama binti huyo,na kwamba kutangaza yupo na Wema ni kujisafisha mbele za watu ili aendelee kuwa juu kibiashara.

BLOG YA HII NDIO BONGO IMEGUNDUA NYOTA YA DIAMOND INAPAISHWA NA BIBIE WEMA SEPETU NA KUWA BILA YEYE DIAMOND HAPATI KICK.

Jumamosi, 25 Januari 2014

MSANII MAARUFU APIGA PICHA ZA UTUPU CHOONI NA KUZISAMBAZA TWITER - ZITAZAME HAPA - Bata Boiz

MSANII MAARUFU APIGA PICHA ZA UTUPU CHOONI NA KUZISAMBAZA TWITER - ZITAZAME HAPA 

LILE BEEF LA MA MRS DIAMOND LAFIKA PABAYA........!!!!!!!

Kutoelewana kati ya miss Tanzania 2006 Wema Isack Sepetu na bibie Jokate Mwegelo Kidoti kumeshika kasi baada ya wadada hao kudai bifu lao ni mpaka KIFO yalaaaaaaaaaa!!!!!!!!

Mwanzo wa bifu hilo unadaiwa kuwa ni Bibie Kidoti kumuibia Wema Sepetu bwana ake anayeitwa Nasibu Abdalah a.k.a Diamond sukari ya wadada ilihali akijua kuwa anatoka na shoga ake huyo....!!!!!

Ugomvi ulianzia hapo ambapo Wema alilalamika kwenye media huku Kidoti akikanusha vibaya madai hayo.

Kufuatia madai hayo jamii inawatazama kwa jicho la chongo kuhusu bifu hilo ambalo linatokana na mapenzi.

WEMA ISACK SEPETU
Jitihada za kuwatafuta wawili hao zikaendelea mpaka wakapatikana mh ngoja nianze na dogo Kidoti...!
                  MSIKIE JOKATE ALICHOJIBU.....
Mimi sitaki tena sitaki kabisa kupatanishwa na huyu[WEMA]wala sitaki na siwezi kushindana naye.....!!!!
                       


Jokate Mwegero
                                                MSIKIE MRS DIAMOND mhhhh!!!!!!
Siwezi kupatana na Jokate kwa sababu simpendi huyo mtoto hata kabla hajaniibia DIAMOND wangu....Hata aje mtu wa kutupatanisha siwezi kumsamehe.
NIMEMSAMEHE JACK[WOLPER] kwa sababu watu walikuwa wanatuchonganisha na lile beef langu na yeye lilikuwa la kisichana tu..........
LANGU JICHO TUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!GOOOOOOOOO

Ijumaa, 24 Januari 2014

HII NDIO NDOA YENYE HUZUNI NA FURAHA KWA PAMOJA...!!!!!!!!!!!!

Hii siyo nyingine bali ni ndoa ya wale mabinti watatu wa familia moja waliofunga ndoa ya pamoja.........!!!!!!!!!!!!!!!!
Sarah Becky[19],Kaylee Benky[21],na dada yao Jodie walifunga ndoa hiyo mwishoni mwa mwaka jana na wachumba zao mjini Snellville ,Georgia na kuhudhuriwa na umati wa watu....!!!ndoa hizo zimefungwa kwa wakati mmoja ili kumuwezesha mama yao Benky Wales  aliyekuwa anasumbuliwa na kansa ya titi kuhudhuria  kwa wakati mmoja kabla umauti haujamkuta,,,,mama yao huyo aliaga dunia masaa 12 baada ya ndoa hiyo kufanyika.!!!!!!