Kurasa

Ijumaa, 24 Januari 2014

HII NDIO NDOA YENYE HUZUNI NA FURAHA KWA PAMOJA...!!!!!!!!!!!!

Hii siyo nyingine bali ni ndoa ya wale mabinti watatu wa familia moja waliofunga ndoa ya pamoja.........!!!!!!!!!!!!!!!!
Sarah Becky[19],Kaylee Benky[21],na dada yao Jodie walifunga ndoa hiyo mwishoni mwa mwaka jana na wachumba zao mjini Snellville ,Georgia na kuhudhuriwa na umati wa watu....!!!ndoa hizo zimefungwa kwa wakati mmoja ili kumuwezesha mama yao Benky Wales  aliyekuwa anasumbuliwa na kansa ya titi kuhudhuria  kwa wakati mmoja kabla umauti haujamkuta,,,,mama yao huyo aliaga dunia masaa 12 baada ya ndoa hiyo kufanyika.!!!!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni