Ijumaa, 14 Februari 2014
KUHUSU VALENTINE DAY.......
TAREHE 14FEBRUARY YA KILA MWAKA INAKUMBUKWA SIKU YA WAPENDANAO..........NI SIKU AMBAYO JAMII KWA UJUMLA INAPATA WASAA WA KUONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WAO.....
SIKU HII KWA UJUMLA INAJUMUISHA TUKIO KUBWA KIDINI YA KIKATOLIKI..........
KUMBUKUMBU YA MTAKATIFU VALENTINO MFIA DINI,,,,,MT VALENTINO ALIFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUFUNGISHA NDOA KITU AMBACHO KILIKUWA KINYUME NA SHERIA ZA MTAWALA WA NCHI YAKE AMBAYE ALIKATAZA VIJANA KUOA KUSUDI WAJIUNGE NA JESHI LA NCHI YAKE,,,,,,,
AKIWA GEREZANI MT VALENTINO ALITOKEA KUPENDANA NA BINTI WA MKUU WA GEREZA AKIWA ANSASUBIRI ADHABU YAKE YA KUNYONGWA......SIKU YA KUNYONGWA KWAKE AKAACHA UJUMBE WENYE MAANDISHI"FROM YOUR VALENTINE"KWA SASA SIKU HII INAAZIMISHWA KAMA SIKU YA KUONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WETU HUSUSANI
PRINCE NAWATAKIA HAPPY VALENTINE WAPENDWA WOTE
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni