Mwanzo wa bifu hilo unadaiwa kuwa ni Bibie Kidoti kumuibia Wema Sepetu bwana ake anayeitwa Nasibu Abdalah a.k.a Diamond sukari ya wadada ilihali akijua kuwa anatoka na shoga ake huyo....!!!!!
Ugomvi ulianzia hapo ambapo Wema alilalamika kwenye media huku Kidoti akikanusha vibaya madai hayo.
Kufuatia madai hayo jamii inawatazama kwa jicho la chongo kuhusu bifu hilo ambalo linatokana na mapenzi.
WEMA ISACK SEPETU
Jitihada za kuwatafuta wawili hao zikaendelea mpaka wakapatikana mh ngoja nianze na dogo Kidoti...!
MSIKIE JOKATE ALICHOJIBU.....
Mimi sitaki tena sitaki kabisa kupatanishwa na huyu[WEMA]wala sitaki na siwezi kushindana naye.....!!!!
Jokate Mwegero
MSIKIE MRS DIAMOND mhhhh!!!!!!
Siwezi kupatana na Jokate kwa sababu simpendi huyo mtoto hata kabla hajaniibia DIAMOND wangu....Hata aje mtu wa kutupatanisha siwezi kumsamehe.
NIMEMSAMEHE JACK[WOLPER] kwa sababu watu walikuwa wanatuchonganisha na lile beef langu na yeye lilikuwa la kisichana tu..........
LANGU JICHO TUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!GOOOOOOOOO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni