Kurasa

Jumatatu, 3 Februari 2014

KASHFA YA KUSAGANA NA UWOYA YAMTOA NENO MSANII!!!!!!!!!.......isome hapa......

Staa wa filamu ya THE RETURN OF OMEGA ambayo kwa sasa iko mitaani,Mariam Ismail ameamua kuvunja ukimya juu ya madai ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi ya jinsia moja[USAGAJI]na mshiriki wa filamu hiyo Irene Uwoya na kuamua kuishi pamoja katika nyumba moja jijini bongo........
........Kauli yake akiteta nasi hii hapa....... "Mimi ndio wa kwanza kupiga vita upumbavu huo,nimekamilka sina kasoro ya kufanya niwe na mwanamke mwenzang,wanaofanya hivyo nadhani wana kasoro kwenye miili yao.Irene ni rafiki yangu urafiki wetu sio wa leo au wa keho tumeshibana"alisema. Mariam ambaye pia kwenye return of omega ameigiza na Mtitu pamoja na Dude aliongeza kuwa suala la wao kukaa pamoja halina sababu ya kuwazushia kwani nyumba wanayoishi ni kubwa na hawachangii chumba kimoja. "Kupanga tuishi wote sioni kama ni tatizo,ingekuwa ni chumba kimoja hapo sawa lakini ni nyumba kubwa yenye kujitosheleza,kila mtu anacho chumba chake,tunaishi kwa amani na ushirikiano.Ukimya wetu na kupatana kusifanye watu kuanza kuhisi upumbavu juu yetu...Natumaini ujumbe wangu utakuwa umewafikia mashabiki wangu wote....Asante.In God I trust...Alimaliza mdada uyo kwa kiswanglish......

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni