Kurasa

Jumapili, 26 Januari 2014

WEMA AYAVAA MAJANGA MENGINE....

                          
                                                                     Wema sepetu
                                                                 
                                                              Wema na Diamond

Mwigizaji Wema Sepetu ameingia katika donda lingine la moyo  baada ya mpenzi wake Naseeb Abduli a.k.a Diamond kuripotiwa kuanzisha mahusiano na Hamisa Mabeto.

       Modo huyo ambae ameshafanya kazi kadhaa na Diamond,ikiwa ni pamoja na kupamba uzinduzi wa wimbo wa my no 1 uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2013 Serena hotel jijini Dar es Salaam.
                 
      
                                                            Hamisa Mabeto
Diamond anayevuma Africa Mashariki na kati anadaiwa kufa kuoza kwa binti huyo ambaye licha ya umodo pia ameanza kugeukia filamu.
                                               
                                                  Mrembo Hamisa katika pozi tatu tofauti.
Diamond anadaiwa kumpangishia nyumba ya gharama binti huyo,na kwamba kutangaza yupo na Wema ni kujisafisha mbele za watu ili aendelee kuwa juu kibiashara.

BLOG YA HII NDIO BONGO IMEGUNDUA NYOTA YA DIAMOND INAPAISHWA NA BIBIE WEMA SEPETU NA KUWA BILA YEYE DIAMOND HAPATI KICK.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni