Jumamosi, 8 Februari 2014
MWANAKWAYA AAIBIKA................
Ni aibu iliyoje?????
Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu kimoja{jina lipo}ambayepia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku wa manane akijiuza RISASI MCHANGANYIKO linafumua......
Mwanakwaya msomiwa chuo kikuu katikati aliyejitambulisha kwa jina la Rei......
Rei alikamatwa katika msako wa polisi katikati ya jiji la dar aka city center hivi karibuni akiwa na kundi la warembo wa vyuo mbalimbali wakifanya biashara haramuya kuuza miili yao...
Mrembo huyo ambaye OFM ya Globar publisher ilimnasa ilimshuhudia kabla ya kupelekwa kituo cha polisi Ilala center ilijitetea kuwa yeye ni dentiwa chuo kikuu hivyo kitendo cha kupigwa picha alijua zitasambaa mitandaoni hivyo itakuwa ni aibu kubwa.
"Kaka naomba usinitoe gazetini au mtandaoni haya ni maisha tu itakuwa aibu kwa wanachuo wenzangu alijitetea"
Mbali na hayo,mrembo huyo wa haja alikuwa akihaha kuwa kama ishu hiyo itamfikia mchungaji wake,basi hatakuwa na sehemu ya kuficha uso wake..........
KWA MAELEZO ZAIDI JIPATIE NAKALA YA GAZETI LAKO LA RISASI JUMAMOSI.......
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni