Jumanne, 28 Januari 2014
FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO.......
Ule uvumi kwamba baadhi ya wachungaji,maaskofu na mitume wa makanisa ya kiroho nchini wanajihusisha na imani za Freemasoni unazidi kushika kasi huku awamu hii rungu likimuangukia Mchungaji Anthony Lusekelo almaarufu Mzee wa Upako wa kanisa la GRC ubungo na kutikisa kanisa,,,gazeti la UWAZI linanyetisha.
MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO
Madai hayo ya mtumishi huyo kujihusisha na imani hiyo yalianza kuenea kwa kasi mithili ya moto nyikani huku baadhi ya watu wakionyesha shaka juu ya uponyaji wa mtumishi huyo kufuatia miujiza ya ajabu ambayo amekuwa akionyesha kwa watu wenye uhitaji wa kiimani.
MATENDO YA SHAKA
Baadhi ya matendo ambayo yamekuwa yakiwatia shaka baadhi ya watu ni pamoja kitendo cha mchungaji
huyo kuwaombea watu wakiwa hawana kitu kabisa lakini baada ya muda hurudi kanisani hapo wakiwa na magari ya kifahari na wakionyesha kila dalili ya ukwasi{utajiri}
"ETI UNAKUTA MTU HANA KITU AMEKWENDA KUOMBEWA BAADA YA MIEZI MICHACHE ANARUDI NA GARI LA KIFAHARI KWELI????hayo ni maneno ya ya baadhi ya waumini wa makanisa ya kikristo walipozungumza na UWAZI.
ALAMA NA VIASHIRIA TATA.
Wakiafafanua kwa kina juuya wasiwasi wao na mzee wa Upako na miujiza yake,waumini hao walitolea mfano baadhi ya viashiria kuwa ni moja ya utambulisho wa Freemasoni.
Wanasema "mara nyingi mtumishi huyo akiwa madhabahuni amekuwa akitumia kitambaa kikubwa kujifutia na kuwagusia watu anaowaombea hali ambayo huwafanya kuanguka ovyo na kupga kelele ovyo"walisema.
Mbali na kitambaa walisema mtumishi huyo amekuwa akionekana na pete zenye picha za ajabu akiwa anahubiri na kutenda niujiza.
Hofu yao nyingne ni kwamba mtumishi huyo amekuwa hataji neno Mbinguni badala yake husema"MUNGU WANGU AWABARIKI"
KAMA KAWAIDA UWAZI HAWABAHATISHAGI WAKAMUIBUKIA OFISINI...
Viranja wa gazeti la uwazi wakamuibukia ofisini kwake Ubungo Kibangu na kumkuta kajaa tele wakamsomea mashtaka bila kumumunya maneno.....
Naye akajibu bila kupepesa macho.......
"Hizo tuhuma zilianza kusikika zamani sana,watu walianza kunituhumu kwenye matumizi ya bendera ya Taifa kanisani,nikaacha wakahamia kwenye kitambaa"
ANAZIDI KUFUNGUKA ........
"Jamani natumia muda mwingi kusimama madhabahuni sasa nikitumia kitambaa cha 500 itwezekana kweli?????natumia kitambaa kidogo kufuta jasho ishakuwa nongwa."
UYU APA TENA LUSEKELO.....
"Baadaye wakahamia pete.....mimi ni mtu smart{msafi}na nimezaliwa mjini{borntown}sasa kuvaa pete ni sehemu ya maisha ya mjini lakini baada ya maneno nikavua na sasa sina ...alisema..
KUHUSU FREEMASON.......
"Sijawahi hata siku moja kuwa Freemason kwanza hata wanapopatikana sipajui,mimi si muumini wa dini wala imani yeyote ya kishetani.......!!!!!SHETANI MWENYEWE ANANIOGOPA........
HII NDIO BONGO TUNAKUTIA MOYO MTUMISHI KUMBUKA MAJARIBU NI SEHEMU YA HUDUMA YAKO NA VIKWAZO HAVINA BUDI KUJA..........!!!!!!!
LULU AWATOLEA UVIVU WANAOMCHAFUA..........isome hapa............
Nawashangaa watu ambao wamekuwa wepesi kunizushia skendo mara natoka na waume za watuama wasanii,maisha yangu mimi ni filamu,kwani hivi karibuni nimechukua fedha yangu nyingine baada ya kukamilika kwa filamu yangu ya Family Curse inayosambazwa na Proin Promotions,hivyo watu wakiniona wanafkiri nahongwa kumbe nina MKWANJA balaaaaaa!!!!!!!!!
Lulu ameiambia HII NDIO BONGO Proin Promotion ndio walezi wake na ndio wanampa jeuri ya kuishi hapa mjini!!!!!!!
PRINCE WA HII NDIO BONGO NAKUTAKIA KILA LA KHERI LULU KATIKA KAZI ZAKO!!!!!!!!!!!
Lulu ameiambia HII NDIO BONGO Proin Promotion ndio walezi wake na ndio wanampa jeuri ya kuishi hapa mjini!!!!!!!
PRINCE WA HII NDIO BONGO NAKUTAKIA KILA LA KHERI LULU KATIKA KAZI ZAKO!!!!!!!!!!!
Jumapili, 26 Januari 2014
BASATA YAFUNGIA NIMEVURUGWA YA SNURA.....isome hapa.......
BARAZA la Sanaa la Taifa [Basata]limeifungia videpo ya wimbo wa NIMEVURUGWA ya mwanadada mkali wa mduara Snura Mushi kwa madai ya kukosa maadili kwa jamii.
Akizungumza hivi karibuni,Snura alisema hajui sababu gani iliyofanya kazi yake kufungiwakupigwa katika vituo vya telivisheni.
"Nilipigiwa simu na rafiki zangu na kuambiwa hivyo,lakini mpaka sasa sijui ni kwa sababu gani kwa maana sioni kama nimefanya kitu cha ajabu katika video hiyo na cha kushangazwa hata sijaulizwa na yeyote,ila ndio hivyo"alisema mamaa Majanga.
Snura anasema wakati anasambaza wimbo wa"Majanga"kuna baadhi ya mashabiki wake walimshangaa kwa nini hajachezaamesababisha video ya wimbo huo kupooza na kutokuwa na mvuto ikabidi nisiwaboe mashabiki wangu ndio wimbo uliofuata ikanibidi kucheza kumbe nilikuwa naandaa mazingira ya kufungiwa.alisema Snura.
Snura ni kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika vituo mabimbali vya redio na televisheni kutokana na kazi zake ambazo zinaliteka soko la muziki nchini.
Akizungumza hivi karibuni,Snura alisema hajui sababu gani iliyofanya kazi yake kufungiwakupigwa katika vituo vya telivisheni.
"Nilipigiwa simu na rafiki zangu na kuambiwa hivyo,lakini mpaka sasa sijui ni kwa sababu gani kwa maana sioni kama nimefanya kitu cha ajabu katika video hiyo na cha kushangazwa hata sijaulizwa na yeyote,ila ndio hivyo"alisema mamaa Majanga.
Snura anasema wakati anasambaza wimbo wa"Majanga"kuna baadhi ya mashabiki wake walimshangaa kwa nini hajachezaamesababisha video ya wimbo huo kupooza na kutokuwa na mvuto ikabidi nisiwaboe mashabiki wangu ndio wimbo uliofuata ikanibidi kucheza kumbe nilikuwa naandaa mazingira ya kufungiwa.alisema Snura.
Snura ni kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika vituo mabimbali vya redio na televisheni kutokana na kazi zake ambazo zinaliteka soko la muziki nchini.
WEMA AYAVAA MAJANGA MENGINE....
Wema sepetu
Wema na Diamond
Mwigizaji Wema Sepetu ameingia katika donda lingine la moyo baada ya mpenzi wake Naseeb Abduli a.k.a Diamond kuripotiwa kuanzisha mahusiano na Hamisa Mabeto.
Modo huyo ambae ameshafanya kazi kadhaa na Diamond,ikiwa ni pamoja na kupamba uzinduzi wa wimbo wa my no 1 uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2013 Serena hotel jijini Dar es Salaam.
Hamisa Mabeto
Diamond anayevuma Africa Mashariki na kati anadaiwa kufa kuoza kwa binti huyo ambaye licha ya umodo pia ameanza kugeukia filamu.
Mrembo Hamisa katika pozi tatu tofauti.
Diamond anadaiwa kumpangishia nyumba ya gharama binti huyo,na kwamba kutangaza yupo na Wema ni kujisafisha mbele za watu ili aendelee kuwa juu kibiashara.
BLOG YA HII NDIO BONGO IMEGUNDUA NYOTA YA DIAMOND INAPAISHWA NA BIBIE WEMA SEPETU NA KUWA BILA YEYE DIAMOND HAPATI KICK.
Jumamosi, 25 Januari 2014
LILE BEEF LA MA MRS DIAMOND LAFIKA PABAYA........!!!!!!!
Kutoelewana kati ya miss Tanzania 2006 Wema Isack Sepetu na bibie Jokate Mwegelo Kidoti kumeshika kasi baada ya wadada hao kudai bifu lao ni mpaka KIFO yalaaaaaaaaaa!!!!!!!!
Mwanzo wa bifu hilo unadaiwa kuwa ni Bibie Kidoti kumuibia Wema Sepetu bwana ake anayeitwa Nasibu Abdalah a.k.a Diamond sukari ya wadada ilihali akijua kuwa anatoka na shoga ake huyo....!!!!!
Ugomvi ulianzia hapo ambapo Wema alilalamika kwenye media huku Kidoti akikanusha vibaya madai hayo.
Kufuatia madai hayo jamii inawatazama kwa jicho la chongo kuhusu bifu hilo ambalo linatokana na mapenzi.
WEMA ISACK SEPETU
Jitihada za kuwatafuta wawili hao zikaendelea mpaka wakapatikana mh ngoja nianze na dogo Kidoti...!
MSIKIE JOKATE ALICHOJIBU.....
Mimi sitaki tena sitaki kabisa kupatanishwa na huyu[WEMA]wala sitaki na siwezi kushindana naye.....!!!!
Jokate Mwegero
MSIKIE MRS DIAMOND mhhhh!!!!!!
Siwezi kupatana na Jokate kwa sababu simpendi huyo mtoto hata kabla hajaniibia DIAMOND wangu....Hata aje mtu wa kutupatanisha siwezi kumsamehe.
NIMEMSAMEHE JACK[WOLPER] kwa sababu watu walikuwa wanatuchonganisha na lile beef langu na yeye lilikuwa la kisichana tu..........
LANGU JICHO TUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!GOOOOOOOOO
Ijumaa, 24 Januari 2014
HII NDIO NDOA YENYE HUZUNI NA FURAHA KWA PAMOJA...!!!!!!!!!!!!
Hii siyo nyingine bali ni ndoa ya wale mabinti watatu wa familia moja waliofunga ndoa ya pamoja.........!!!!!!!!!!!!!!!!
Sarah Becky[19],Kaylee Benky[21],na dada yao Jodie walifunga ndoa hiyo mwishoni mwa mwaka jana na wachumba zao mjini Snellville ,Georgia na kuhudhuriwa na umati wa watu....!!!ndoa hizo zimefungwa kwa wakati mmoja ili kumuwezesha mama yao Benky Wales aliyekuwa anasumbuliwa na kansa ya titi kuhudhuria kwa wakati mmoja kabla umauti haujamkuta,,,,mama yao huyo aliaga dunia masaa 12 baada ya ndoa hiyo kufanyika.!!!!!!
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)