Kurasa

Ijumaa, 14 Februari 2014

KUHUSU VALENTINE DAY.......

TAREHE 14FEBRUARY YA KILA MWAKA INAKUMBUKWA SIKU YA WAPENDANAO..........NI SIKU AMBAYO JAMII KWA UJUMLA INAPATA WASAA WA KUONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WAO..... SIKU HII KWA UJUMLA INAJUMUISHA TUKIO KUBWA KIDINI YA KIKATOLIKI..........
KUMBUKUMBU YA MTAKATIFU VALENTINO MFIA DINI,,,,,MT VALENTINO ALIFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUFUNGISHA NDOA KITU AMBACHO KILIKUWA KINYUME NA SHERIA ZA MTAWALA WA NCHI YAKE AMBAYE ALIKATAZA VIJANA KUOA KUSUDI WAJIUNGE NA JESHI LA NCHI YAKE,,,,,,, AKIWA GEREZANI MT VALENTINO ALITOKEA KUPENDANA NA BINTI WA MKUU WA GEREZA AKIWA ANSASUBIRI ADHABU YAKE YA KUNYONGWA......SIKU YA KUNYONGWA KWAKE AKAACHA UJUMBE WENYE MAANDISHI"FROM YOUR VALENTINE"KWA SASA SIKU HII INAAZIMISHWA KAMA SIKU YA KUONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WETU HUSUSANI PRINCE NAWATAKIA HAPPY VALENTINE WAPENDWA WOTE

Jumapili, 9 Februari 2014

HIKI NDIO KIVAZI CHA LULU KILICHOJENGA HOJA KWA WADAU WAKE.......

Awali kigauni hicho alionekana nacho maeneo ya sinza na badae kukitupia mtandaoni kiliwafanya wengi kuhoji anakoelekea bi dada huyo........ HII NDIO IKAFANYA UCHUNGUZI NA KUGUNDUA KIGAUNI HICHI KWA NDANI KINA KITAMBAA KINACHOFANANA NA NGOZI........HONGERA BI DADA KWA UGUNDUZI WAKO LAKINI WENGI ULITUACHA MIDOMO WAZI......

Jumamosi, 8 Februari 2014

JE UMEZIONA PICHA ZA WEMA KAJALA NA AUNT EZEKIEL WAKIWA TRIPLE A???//ni shidaaaaaah zitazame hapa.........

full pozi dah
cheki
Jamani wamama wenye mapaja mabaya muwe mnavaa nguo ndefu kidogo.....hebu muone uyu mama looooh ni shidah kaharibu kabisa......
check me...............www.facebook.com/princewilliums

MWANAKWAYA AAIBIKA................

Ni aibu iliyoje????? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu kimoja{jina lipo}ambayepia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku wa manane akijiuza RISASI MCHANGANYIKO linafumua......
Mwanakwaya msomiwa chuo kikuu katikati aliyejitambulisha kwa jina la Rei...... Rei alikamatwa katika msako wa polisi katikati ya jiji la dar aka city center hivi karibuni akiwa na kundi la warembo wa vyuo mbalimbali wakifanya biashara haramuya kuuza miili yao... Mrembo huyo ambaye OFM ya Globar publisher ilimnasa ilimshuhudia kabla ya kupelekwa kituo cha polisi Ilala center ilijitetea kuwa yeye ni dentiwa chuo kikuu hivyo kitendo cha kupigwa picha alijua zitasambaa mitandaoni hivyo itakuwa ni aibu kubwa. "Kaka naomba usinitoe gazetini au mtandaoni haya ni maisha tu itakuwa aibu kwa wanachuo wenzangu alijitetea" Mbali na hayo,mrembo huyo wa haja alikuwa akihaha kuwa kama ishu hiyo itamfikia mchungaji wake,basi hatakuwa na sehemu ya kuficha uso wake.......... KWA MAELEZO ZAIDI JIPATIE NAKALA YA GAZETI LAKO LA RISASI JUMAMOSI.......

Ijumaa, 7 Februari 2014

NI LULU TENAAAA.......NI FEBRUARI 17 KESI YAKE KURINDIMA TENA...........isome hapa

KESI ya mauaji bila kukusudia inayomkabili msanii wa filamu nchini Bi. Elizabeth Michael{LULU}inatarajia kuunguruma katika mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam,februari 17 mwaka huu. Kesi hiyo ambayo ilibadilika kutoka kwenye kesi ya mauaji ya kukusudia na kuwa mauaji ya bila kukusudia ilipangwa kusikilizwa mbele ya jaji Rose Teemba... Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya mahakama hiyo mshitakiwa huyo anayetetewa na wakili Peter Kibatala atasomewa mashtaka yanayomkabili upya na atatakiwa kujibu kama ni kweli aliua bila kukusudia au hapana.... Lulu baada ya kubadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kuua bila kukusudia alipata dhamana na kupewa masharti ya kuripoti kwa msajili wa mahakama hiyo kila mwezi. Awali mwaka 2012,mshitakiwa alipandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwa madai ya kumuua msanii nyota wa filamu nchini,Steveni Kanumba. Inadaiwa kuwa,Lulu na Kanumba wablikuwa na walikuwa na mahusiano ya kimapenzi na waligombana usiku wa April 6,2012 na April 7 mwaka huo katika eneo la Sinza Vatican Kanumba aliaga dunia..... KILA LA KHERI LULU

Jumatatu, 3 Februari 2014

Tazama picha Wema,Kajala,Zamaradi,Anti Ezekiel wakiwa A town noma sana..............

WEMA,ZAMARADI,KAJALA NA ANTI EZEKIEL WAKIWA KWENYE POOOOZI NDANI YA A TOWN KWENYE SHOO YA MSANII ALIYE CHINI YA LEBO YA ENDLESS FAME....MIROR.
KABLA YA SHOO KATIKA POZI........
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MIROR.

KASHFA YA KUSAGANA NA UWOYA YAMTOA NENO MSANII!!!!!!!!!.......isome hapa......

Staa wa filamu ya THE RETURN OF OMEGA ambayo kwa sasa iko mitaani,Mariam Ismail ameamua kuvunja ukimya juu ya madai ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi ya jinsia moja[USAGAJI]na mshiriki wa filamu hiyo Irene Uwoya na kuamua kuishi pamoja katika nyumba moja jijini bongo........
........Kauli yake akiteta nasi hii hapa....... "Mimi ndio wa kwanza kupiga vita upumbavu huo,nimekamilka sina kasoro ya kufanya niwe na mwanamke mwenzang,wanaofanya hivyo nadhani wana kasoro kwenye miili yao.Irene ni rafiki yangu urafiki wetu sio wa leo au wa keho tumeshibana"alisema. Mariam ambaye pia kwenye return of omega ameigiza na Mtitu pamoja na Dude aliongeza kuwa suala la wao kukaa pamoja halina sababu ya kuwazushia kwani nyumba wanayoishi ni kubwa na hawachangii chumba kimoja. "Kupanga tuishi wote sioni kama ni tatizo,ingekuwa ni chumba kimoja hapo sawa lakini ni nyumba kubwa yenye kujitosheleza,kila mtu anacho chumba chake,tunaishi kwa amani na ushirikiano.Ukimya wetu na kupatana kusifanye watu kuanza kuhisi upumbavu juu yetu...Natumaini ujumbe wangu utakuwa umewafikia mashabiki wangu wote....Asante.In God I trust...Alimaliza mdada uyo kwa kiswanglish......