Jumapili, 18 Mei 2014
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA MAHALA PEMA PEPONI............................
TASNIA ya Bongo Movie imepata pigo kwa kumpoteza mwigizaji mashuhuri ADAMU KUAMBIANA aliyeiaga dunia jana Alfajili ya kuamkia jumamosi ya tarehe 17 may.......
Akizungumzia kifo hicho Raisi wa Bongo Movie Steven Nyerere alisema"JANA ASUBUHI WAKATI AKIONGOZA FILAMU ALIANGUKA GHAFLA CHOONI KATIKA HOTELI SILVER RADO,SINZA NA ALIFARIKI NJIANI WAKATI AKIPELEKWA HOSPITALI..........
MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA ENZI YA UHAI WAKE............
ADAMU KUAMBIANA ameongoza na kucheza filamu kama DANIJA,CHAGUO LANGU,FAKE PASTOR,ULIYEMCHOKOZA KAJA,JESICA,ITS TOO LATE NA NYINGINE NYINGI
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI NA BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
....................................................AMEN....................................................................
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)