Jumanne, 4 Machi 2014
MKENYA ASHINDA TUZO ZA OSCAR.......itazame hapa..............
Mwigizaji na mwanamitindo Lupita Nyongo ameandika historia baada ya kuwa mwigizaji wa kwanza kutoka Nchini Kenya kushinda tuzo kubwa za OSCAR.....
Nyongo mwenye miaka 30 alishinda tuzo hiyo kupitia kipengere cha mwigizaji BORA MSAIDIZI wa kike alipoigiza kama Patsey kwenye filam ya 12 YEARS A SLAVE.
LUPITA NYONG'O PICHANI
Filamu hiyo ni ya kwanza kubwa kuigizwa na Lupita na kwa bahati nzuri imekuwa ya kwabza kumpatia tuzo tuzo kubwa kama ya OSCAR.
Katika kipengela hicho alipambanishwa na Jeniffer Lawrence wa filamu ya kwenye AMERICAN HUSTLE...
Wakati akipokea tuzo hiyo alitoa ujumbe usemao "UWE NI UKUMBUSHO KWA MTOTO YEYOTE ATAEZALIWA ATAMBUE
--------------------------------------------------------------------------------
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)